Biblia ni andiko linaloendelea kusimama tangu enzi na enzi maana imekuweko, iko na itaendelea kuweko. Elimu iliyomo katika kitabu hiki haijawahi kulinganishwa na kitabu chochote kilichowahi kuweko katika dunia hii. Fuatilia vizuri na kwa ukaribu kupitia pastor Mgogo ambaye Mungu anamtumia kuifundisha biblia kwa usahihi. Naamini hatakuacha bure katika mafundisho yake, utaimarika kiroho zaidi ya ulivyo sasa.
BIBLIA INAFUNDISHA, FUATILIA KUPITIA APP HII UPATE ELIMU YA TOFAUTI
App Name | BIBLIA INAFUNDISHA v4.0 |
---|---|
Genre | Games, News & Magazines |
Size | 8.2M |
Latest Version | 4.0 |
Get it On | |
Update | February 26, 2021 |
Package Name | com.biblemgo.tz |
Rating | |
Installs | 5,000+ |
Copyright© 2017-2024 Mobile Tech 360 | About | Privacy Policy | Terms | DMCA | Contact Us | Submit Your App